Vipuri Pro ni mfumo wa kidigitali unaokusaidia kuuza vipuri, kufuatilia stok, kudhibiti fedha na kuona faida ya biashara yako. Yote kwa simu au kompyuta, kwa Kiswahili.
Mfumo umeundwa kwa mahitaji halisi ya maduka ya vipuri nchini Tanzania.
Bei wazi. Lipia kwa M-Pesa baada ya majaribio.
Piga simu au jisajili moja kwa moja. Tumekusaidia kuanza na kuelewa mfumo.
📞 +255 744 100 734Jisajili, pata siku 30 za majaribio bure, kisha lipia mpango unaokufaa.